Mwanamke mwingine wa Ufaransa ajitokeza na kudai ana mimba ya Davido, aweka ushahidiFollow kurasa zetu za mitandao ya kijamii: https://www.instagram.com/simulizinasauti/ https://twitter.com/simulizinasauti …

source

Author: Simulizi Na Sauti

48 thoughts on “Mwanamke mwingine wa Ufaransa ajitokeza na kudai ana mimba ya Davido, aweka ushahidi

  1. Mnamsakama Davido tu, Je Mwamba Mfalme Suleiman angekuwa anaishi katika kipindi hiki cha mitandao yakijamii mngemuitaje😑😑😑

  2. Huyo mwanaume (Malaya anaamkosea bibi yake Ijieoma kwanini amebeba mimba tena labda mtoto itakua tena kijana. Mbona huyo hana heshima kwa bibi ?shame on him.

  3. DAVIDO HE'S JUST A MAN LIKE ANY OTHER MAN, THERE'S NOTHING SPECIAL, ONLY MONEY AND FAME OTHERWISE HE'S NOT SPECIAL THAN OUR SON'S. WANAUME WANA FANANA TAJIRI NA MASKINI MWILI NI ULE ULE.

  4. Ukute ni mbinu tu davido ametumia ili kuachana na chioma kirahisi. Ingekuwa mimi ni chioma nisingejali kikubwa Afya yangu watoto waje tu tena ningekuwa mimi chioma ningemwambia wazae waletwe kwangu niwalee mwenyewe

  5. So, does it mean the time we thought he was moaning for loosing his son, kumbe he was busy F around. Leaving Chioma alone in Nigeria??am confused here 😐

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *